Yaani sitaki kuamini kama this guy is dead...Mungu wangu jamani ebu mtu aniambie naota labda. Yani nimeamka asubuhi ndio nasikia story hii how sad …